Amani Business School cover art

Amani Business School

Amani Business School

Written by: Amani Longishu
Listen for free

About this listen

Je, umewahi kuhisi kama mitandao ya kijamii inapoteza muda wa biashara yako? Naam, turekebishe hilo! Ulimwengu wa uuzaji mtandaoni unabadilika kila wakati, kwa hivyo niruhusu niendelee kukufahamisha mabadiliko. haya na jinsi ya kukabiliana nayo Show hii itakupa muongozo wa uuzaji kwenye mitandao ya kijamii na Updates mpya. Nitazingatia zaidi jinsi ya kukua kwenye Instagram, Facebook, TikTok, na majukwaa yoyote yanayoibuka ili kukuza chapa yako na Biashara, Subscribe usipitwe!Amani Longishu Economics Leadership Management & Leadership
Episodes
  • #116: MBINU 7 Za Kupata WATEJA WENGI Msimu Wa CHRISTMAS
    Nov 23 2025

    Katika Episode hii nimezungumzia mbinu 7 za kupata wateja wengi msimu wa sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya!


    1️⃣Kujiunga kozi ya UZA DEILEE ujifunze kufanya biashara yako online👇

    https://amanilongishu.co.tz/uzadeilee


    2️⃣Kuonana Na Mimi kupata Mafunzo na Ushauri Wa Biashara yako!👇

    https://amanilongishu.co.tz/booking


    3️⃣Setup ya Audience ili Matangazo yako yalete matokeo👇🏽

    https://amanilongishu.co.tz/setup/


    4️⃣Kuongea Na Mimi👇🏼

    https://amanilongishu.co.tz/call


    5️⃣Vitabu(softcopy)👇🏼

    https://amanilongishu.co.tz/ebooks/


    Kupata Wateja, Kupata Wateja Wengi, Kupata Wateja Online, Wateja wengi mtandaoni!


    Amani Longishu

    Street Smart Marketing Coach

    Show More Show Less
    5 mins
  • #115: BIASHARA 20 ZA Kuvutia WATEJA WENGI Wanawake Tanzania Na Nchi Jirani
    Aug 22 2025

    Ndani Ya Episode hii nimezungumzia Biashara 20 Za Kuvutia Wateja Wengi Wanawake Tanzania Na Nchi Jirani

    Instagram;https://www.instagram.com/amanilongishu/

    Tiktok;https://www.tiktok.com/@amanilongishu

    Coach Amani Longishu,Amani Longishu - Online Business CoachBiashara zenye faida, biashara za mtaji mdogo, biashara za faida kubwa, Biashara Za Mtaji mdogo Tanzania, mtaji,

    Show More Show Less
    7 mins
  • #114: BIASHARA 5 Zenye FAIDA Kwa Wadada
    Jul 22 2025

    Episode hii nimezungumzia Biashara 5 Zenye Faida kwa WadadaInstagram;https://www.instagram.com/amanilongishu/Tiktok;https://www.tiktok.com/@amanilongishu Coach Amani Longishu,Amani Longishu, Biashara zenye faida, biashara za mtaji mdogo, biashara za faida kubwa, Biashara Za Mtaji mdogo Tanzania, mtaji,

    Show More Show Less
    6 mins
No reviews yet