• Maua Sama na Di'Ja Wazungumzia Collabo Yao, Music Video na Kusaini Lebo Mpya
    May 13 2022

    Maua Sama na mwanadada Di'Ja kutoka Nigeria wameibuka XXL kuzungumzia mipango ya ujio wa collabo zao pia music video ya Maua Sama toka wimbo wenye dakika 24.

    Show More Show Less
    24 mins
  • Boniphace Pawasa Kuhusu Tofauti ya Mazoezi, Wachezaji zamani na Sasa
    May 13 2022

    Mchezaji wa zamani wa Simba, CDA Dodoma na Azam Boniphace Pawasa  amezungumzia tofauti ya mazoezi ya zamani na sasa na kuongelea nini  kinawatofautisha wachezi wa sasa na wa zamani katika kipindi cha Hili  Game cha Power Breakfast

    Show More Show Less
    10 mins