In Hour Glass ⌛ cover art

In Hour Glass ⌛

In Hour Glass ⌛

Written by: Khaled & Seif Mselem
Listen for free

About this listen

Learning and Execute What you have learn

In Hour Glass 2024
Self-Help Success
Episodes
  • Jinsi ya Kuacha TABIA Ambazo hauzipendi na Kuanza kufanya zile Zinazokuvutia by Khaled & Seif Mselem
    Jan 31 2024

    Matokeo ya mambo mengi tunayo yafanya kila siku kwenye Maisha yetu yanatokana na TABIA tulizo zijenga kwenye Subconscious Mind yetu.

    Kwenye hii Episode 01 Utaenda Kujifunza Jinsi unavyo weza kujenga TABIA Mpya ambayo ni nzuri na itakusaidia kupiga hatua Moja kwenda kwenye Mafanikio yako.

    Lakini pia utajifunza Jinsi ya Kuacha TABIA Ambazo hauzipendi na umeshindwa kabisa kuziacha. Karibu sana tujifunze Wote Mpaka Mwisho.

    Show More Show Less
    1 hr and 8 mins
No reviews yet