MAELEKEZO YA KIMUNGU cover art

MAELEKEZO YA KIMUNGU

MAELEKEZO YA KIMUNGU

Listen for free

View show details

About this listen

JAMBO MUHIMU KWA MAFANIKIO

Mafanikio ya kweli hayategemei mawazo makubwa, fedha, au mahusiano ya kibinadamu pekee, bali yanategemea maelekezo ya Mungu. Neno la Mungu latufundisha kuyathamini maelekezo kuliko fedha, na maarifa kuliko dhahabu safi. Mara nyingi, hatua yako inayofuata hutokana na kutii neno rahisi la Roho Mtakatifu, hata kama halina mantiki kwa akili ya kibinadamu. Bwana ndiye anayekufundisha ili upate faida na anayekuongoza katika njia ikupasayo kuifuata. Hakuna kinachomfanya mtu awe mkuu kama kufuata maelekezo ya kiungu.

No reviews yet