• Jinsi ya kuwa Seductive Woman na faida zake
    Apr 24 2026

    Nimezungumzia Nini maana ya Seduction energetically na jinsi ya kuwa mwanamke seductive na utajuaje wewe siyo seductive woman.

    Show More Show Less
    1 hr and 3 mins
  • The best Sex
    Apr 11 2026

    Pt1, Jinsi ya kuwa na the best sex siyo tu bora sex..

    Show More Show Less
    18 mins
  • Jinsi ya kuanza kujitambua / self-awareness.
    Mar 14 2026

    self awareness ndio chanzo cha wewe kuishi vile unavyostahili, kuwa magnetic, irressistable, unforgettable. Let’s dive in.

    Show More Show Less
    48 mins
  • Jinsi ya ku-Detach bila kuzima hisia.
    Feb 2 2026

    Detachment ni your super power , Detachment sio kukimbia hisia zako au kuzizima na kuwasha akili tu,

    Detachment ni kujipenda bila kushikilia chochote nje yako.Kwenye episode hii tunazungumzia hilo kwa undani zaidi.

    Kama umechoka ku-attach mpaka kuumia, ku-heal kila siku

    episode hii ni kwa ajili yako.

    Show More Show Less
    26 mins
  • Jinsi ya kuwa Self Obsessed
    Jan 23 2026

    Kwenye hii episode tunazungumza kuhusu self obsession baby,

    sio ile ya kujisifu sana au ubinafsi usio na maana.

    Nazungumzia ile ya kurudi kwako kama mwanamke Feminine.

    Utajifunza

    –Maana halisi ya kuwa self-obsessed kama mwanamke

    – Namna ya kuanza kujichagua bila kujisikia hatia

    – Kwa nini kujipenda kuanzia ndani kunabadilisha mahusiano, pesa, na maisha kwa ujumla


    Kama umewahi kujisahau ili upendwe au ukubalike

    episode hii ni kwa ajili yako.

    Show More Show Less
    17 mins
  • Vitu ambavyo hatuvifanyi in 2026!
    Jan 13 2026

    Kwenye hii episode tunazungumzia vitu muhimu sana kuzingatia kwenye huu Mwaka na vitu vya kuachana navyo ili kuwa na the best 2026! kwenye sector zote na lifestyle kwa ujumla, i really want you to not just listen but get into it by doing action starting today.

    Show More Show Less
    19 mins
  • Unatambua thamani yako?
    Jan 8 2026

    Karibu kwenye The Feminine Frequency , mahali ambapo wanawake wanarudi home kwenye mioyo yao, kwenye feminine energy yao, na kwenye thamani yao halisi. Leo kwenye hii ep ya kwanza nataka kukuuliza swali moja tu… Do you really know your worth? Ama umeishi kwenye survival mode kwa muda mrefu mpaka hujijui tena?

    Hapa utasikia version yangu ambayo hujawahi kusikia Instagram, tiktok au YT.More soft. More deep. More real.

    This is your new safe space, baby girl. Welcome home.

    Show More Show Less
    6 mins