Episodes

  • Circle Sessions S1 EP5 Part 2 - Ni wakati gani maisha yako yanakuwa na maana ?
    May 15 2024

    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Show More Show Less
    22 mins
  • Circle Sessions S1 EP5 Part 1 - Ni wakati gani maisha yako yanakuwa na maana?
    May 8 2024

    Kuna mambo mengi yanayoleta maana kwenye maisha yetu na wengi wetu tunashindwa kutambua tunachohitaji kwenye maisha yetu kwa sababu hatujui ni nini kinaketa maana kwenye maisha yetu

    jiunge nasi kujadili kwa kina

    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Show More Show Less
    29 mins
  • Circle Sessions S1 EP4 part 2 - Mapenzi na Ukuaji
    May 8 2024
    Mapenzi yanamchango gani katika ukuaji

    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Show More Show Less
    9 mins
  • Circle Sessions S01,EP4 Part 1 - Mapenzi na ukuaji
    Apr 3 2024
    Moja kati ya mambo mengi yanayosaidia ukuaji wetu nj mapenzi kwa sababu hii ni sehemu ya maisha yetu

    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Show More Show Less
    24 mins
  • Circle Sessions S01 EP03 - The role of failure (kushindwa kuna mchango gani katika ukuaji wako binafsi?)
    Mar 15 2024

    Kwenye kila hatua za ukuaji wetu zinajengwa na experiences na kushindwa ni moja kati ya masomo hadhimu ambayo yanatufanya kuwa imara zaidi kwenye yale mambo tuliyoshibdwa kufanya awali


    Je! wewe umewahi kujiuliza ni kwanamna ghani kushindwa kunafanya uzidi kukuwa zaidi?

    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Show More Show Less
    45 mins
  • Circle Sessions S01 EP02 - Mafanikio ni nini?
    Mar 4 2024

    Wakati tunatafuta maana halisi ya mafanikio yetu na kupambana kuzifikia ndoto zetu tusiache kutafuta kufanikiwa kwenye yale tunayotamani kuyafikia. Lakini ni nini kitaleta maana halisi ya mafanikio kwako?

    Mafanikio yanaweza kuwa na maana tofauti sana kulingana na mitazamo, hali mbalimbali za maisha na mazingira tunayoishi.

    Je! wewe unayaona mafanikio kwa mtazamo upi?

    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Show More Show Less
    41 mins