Doctor Rafiki Afrika cover art

Doctor Rafiki Afrika

Doctor Rafiki Afrika

Written by: Doctor Rafiki
Listen for free

About this listen

Habari, Kwa majina naitwa Dr. Julieth Sebba, MD. Ni daktari na mtafiti katika sekta ya afya Tanzania. Ungana nami kila wiki, nikikushirikisha maarifa mbalimbali katika kuboresha afya yako, afya ya familia yako na jamii kiujumla.© 2024 Hygiene & Healthy Living Psychology Psychology & Mental Health Self-Help Success
Episodes
  • HATUA 6 ZA KUONGEZA UFANISI KIPINDI UNAPOPITIA STRESS
    Nov 14 2025

    Habari Rafiki, wiki hii tunaenda kufahamu hatua 6 muhimu za kufanya kuongeza ufanisi wako kipindi unapopitia stress. Karibu Kusikiliza

    Show More Show Less
    28 mins
  • AFYA YA AKILI KWA VIJANA - DOCTOR RAFIKI AFRICA
    Oct 17 2025

    Kipindi hiki kinazungumzia changamoto za afya ya akili miongoni mwa vijana — msongo wa mawazo, hofu ya maisha, presha kutoka kwa jamii, mitandao ya kijamii, na changamoto za kujitambua.

    Show More Show Less
    32 mins
  • Maumivu ya mgongo kwa watoto na jinsi ya kukabiliana nayo.
    Sep 25 2025

    Karibu kwenye Doctor Rafiki Africa, wiki hii unaenda kuungana na wataalamu wa mazoezi tiba, Emmanuel Jacob na Daniel Materu tunapozungumzia suala zima la maumivu ya mgongo kwa watoto na jinsi ya kukabiliana nayo.

    Show More Show Less
    32 mins
No reviews yet