• HATUA 6 ZA KUONGEZA UFANISI KIPINDI UNAPOPITIA STRESS
    Nov 14 2025

    Habari Rafiki, wiki hii tunaenda kufahamu hatua 6 muhimu za kufanya kuongeza ufanisi wako kipindi unapopitia stress. Karibu Kusikiliza

    Show More Show Less
    28 mins
  • AFYA YA AKILI KWA VIJANA - DOCTOR RAFIKI AFRICA
    Oct 17 2025

    Kipindi hiki kinazungumzia changamoto za afya ya akili miongoni mwa vijana — msongo wa mawazo, hofu ya maisha, presha kutoka kwa jamii, mitandao ya kijamii, na changamoto za kujitambua.

    Show More Show Less
    32 mins
  • Maumivu ya mgongo kwa watoto na jinsi ya kukabiliana nayo.
    Sep 25 2025

    Karibu kwenye Doctor Rafiki Africa, wiki hii unaenda kuungana na wataalamu wa mazoezi tiba, Emmanuel Jacob na Daniel Materu tunapozungumzia suala zima la maumivu ya mgongo kwa watoto na jinsi ya kukabiliana nayo.

    Show More Show Less
    32 mins
  • MAUMIVU YA MGONGO KWA WAJAWAZITO
    Sep 19 2025

    Karibu kwenye Doctor Rafiki Africa, tunapoangazia suala zima la maumivu ya mgongo kwa wajawazito, Karibu kusikiliza.

    Show More Show Less
    38 mins
  • NJIA ZA KUKABILIANA NA MAUMIVU YA MGONGO
    Sep 11 2025

    Habari Rafiki, karibu kwenye episode nyingine ya Doctor Rafiki Africa, na wiki hii tunazungumzia njia za kukabiliana na maumivu ya mgongo. Ni furaha yetu utaenda kujifunza mambo mbalimbali ukiungana na wataalumu wetu wa masuala ya physiotherapy. Karibu kusikiliza

    Show More Show Less
    30 mins
  • Nini kinasababisha maumivu ya mgongo ya mara kwa mara
    Sep 4 2025

    Je, unakumbwa na maumivu ya mgongo mara kwa mara?
    Katika video hii, daktari wa mazoezi (physiotherapy) Emmanuel Jacob ndani ya Doctor Rafiki Africa ataeleza kwa undani sababu kuu zinazoweza kusababisha maumivu ya mgongo ya mara kwa mara, dalili unazopaswa kuzingatia, na njia bora za kuzuia na kutibu.

    Show More Show Less
    17 mins
  • Supplements kwa Makundi Maalumu – Fahamu Nini cha Kuzingatia
    Aug 14 2025

    Katika kipindi hiki cha Doctor Rafiki kwa kushirikiana na Nutrihaven, tunazungumzia umuhimu wa virutubisho kwa makundi maalumu kama wazee, wanawake kabla na baada ya menopause, wajawazito, wanaonyonyesha, na watu wenye magonjwa sugu.

    Dr. Julieth Sebba na Dr. Carl Mhina wanakupa mwongozo wa kitaalamu kuhusu wakati, sababu, na tahadhari za kutumia virutubisho kwa afya bora.

    Show More Show Less
    33 mins
  • Je, Kila Suppliment Za Kula Ni Salama Kwako?
    Aug 6 2025
    Chapters
    • (00:00:00) - Foreign Supplements
    Show More Show Less
    34 mins