Episodes

  • JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA - Innocent Morris
    Jan 13 2026

    Send us a text

    Katika somo hili utajifunza JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA, utajifunza hatua kwa hatua namna ambavyo Biblia imeelekeza mfungo sahihi na wenye kuleta matokeo. Hakika ni somo zuri sana litakalo kusaidia katika maisha yako ya maombi.

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Show More Show Less
    1 hr and 6 mins
  • MAOMBI YA KUOMBEA MWAKA 2026 - Innocent Morris
    Jan 3 2026

    Send us a text

    Karibu kwenye maombi maalum ya kuombea mwaka 2026! Katika naombi haya, tunamwomba Mungu kwa ajili ya ulinzi, baraka, mafanikio, na mwongozo wake kwa kila siku ya mwaka huu mpya. Tukiwa na imani, tunatangaza ushindi juu ya kila changamoto na kushukuru kwa kila fursa mpya.

    Jiunge nasi katika maombi haya yenye nguvu na amani, huku tukimkabidhi Bwana mipango yetu, familia zetu, na taifa letu. Mwaka 2026 ni mwaka wa kuuona wema wa Bwana.

    Usisahau:
    ✔️ Kutufollow ili upokee maombi mengine ya kila wiki.
    ✔️ Share maombi haya ili kuwabariki wengine.

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Tiktok: hscworship

    Show More Show Less
    1 hr and 43 mins
  • UNABII WA MWAKA MPYA 2026 | Innocent Morris
    Jan 3 2026

    Send us a text

    Katika podikasti hii utapata kujua Mungu anasema nini juu ya mwaka huu mpya wa 2026. Utapata neno la kutembea nalo mwaka huu wote. Na pia utapata ahadi za Bwana juu yako maisha yako katika mwaka huu mpya wa 2026.

    Pia utajifunza namna ya kuishi maisha ya kumiliki katika mwaka mpya wa 2026.

    Contacts: +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect

    Show More Show Less
    22 mins
  • MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA ADUI -Innocent Morris
    Nov 24 2025

    Send us a text

    Omba Mungu aondoe kitu chochote kilicho kaa ndani yako ambacho kinakuzuia usisonge mbele katika eneo lolote la maisha yako.

    MSTARI:
    "Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa."
    Mathayo 15:13

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Show More Show Less
    1 hr and 34 mins
  • JINSI YA KUSHINDA UVIVU WA KUOMBA - Innocent Morris
    Nov 14 2025

    Send us a text

    Uvivu wa kuomba ni adui mkubwa wa ukuaji wa kiroho. Wengi tunajua tunapaswa kuomba, lakini mara nyingi tunajikuta tumechoka, tunasahau, au hatuna hamu kabisa ya kuomba. Katika somo hili, utajifunza kibiblia namna ya kushinda uvivu huu wa kuomba.

    Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho na litakusaidia kujua namna ya kushinda vizuizi vingi ambavyo vinainuka kukuzuia kuomba.

    Sikiliza sasa somo hili.

    Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Tiktok: hscworship

    Show More Show Less
    1 hr and 6 mins
  • JIFUNZE KUAMKA USIKU KUOMBA - Innocent Morris
    Nov 14 2025

    Send us a text

    Kuna nguvu ya kipekee inayofichwa kwenye maombi ya usiku! Na maombi ya usiku ni maombi yenye matokeo makubwa katika maisha ya mtu.

    Katika somo hili utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kujizoeza kuamka bila kuchoka na kufurahia maombi ya usiku.

    Sikiliza sasa somo hili.

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Tiktok: hscworship


    Show More Show Less
    58 mins
  • JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA NADHIRI - Innocent Morris
    Oct 14 2025

    Send us a text

    Karibu ujifunze jinsi ya kuomba maombi ya nadhiri.

    Katika somo hili utajifunza namna sahihi ya kibiblia ya kuomba maombi haya, utajifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kufanya maombi haya, na pia utajifunza ni wapi ulipokuwa unakosea na utajua namna ya kurekebisha makosa hayo.

    Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho.

    Sikiliza sasa somo hili.

    Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Tiktok: hscworship

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Show More Show Less
    1 hr and 6 mins
  • SIRI TANO ZA KUOMBA MAOMBI YENYE NGUVU - Innocent Morris
    Oct 14 2025

    Send us a text



    ​Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya maombi hujibiwa na mengine hayajibiwi? Je, unatamani kuwa na maisha ya maombi yenye nguvu na yenye matokeo? Ikiwa umechoka kuomba maombi yasiyo na majibu na uko tayari kuona mabadiliko, basi video hii ni kwa ajili yako.

    Karibu ujifunze katika somo hili siri tano za kuomba maombi yenye nguvu.

    Sikiliza sasa somo hili.

    Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Tiktok: hscworship

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)


    #holyspiritconnect #innocentmorris ​#MaombiYenyeNguvu #SiriZaMaombi #MafundishoYaNenoLaMungu #KuombaKwaImani #Uponyaji #MaombiYaKufunga #JinsiYaKuomba #NguvuYaMaombi #MunguAnajibu #UshindiKatikaMaombi

    Show More Show Less
    1 hr and 3 mins