Mwl. Erick’s Podcast cover art

Mwl. Erick’s Podcast

Mwl. Erick’s Podcast

Written by: Christ Embassy Kawe
Listen for free

About this listen

The Word of God for an endless victorious lifeCopyright 2025 All rights reserved. Christianity Ministry & Evangelism Spirituality
Episodes
  • MAELEKEZO YA KIMUNGU
    Jan 16 2026

    JAMBO MUHIMU KWA MAFANIKIO

    Mafanikio ya kweli hayategemei mawazo makubwa, fedha, au mahusiano ya kibinadamu pekee, bali yanategemea maelekezo ya Mungu. Neno la Mungu latufundisha kuyathamini maelekezo kuliko fedha, na maarifa kuliko dhahabu safi. Mara nyingi, hatua yako inayofuata hutokana na kutii neno rahisi la Roho Mtakatifu, hata kama halina mantiki kwa akili ya kibinadamu. Bwana ndiye anayekufundisha ili upate faida na anayekuongoza katika njia ikupasayo kuifuata. Hakuna kinachomfanya mtu awe mkuu kama kufuata maelekezo ya kiungu.

    Show More Show Less
    23 mins
  • NGUVU YA MANENO
    Jan 15 2026

    Maisha yetu yanatawaliwa na maneno yetu kuliko wengi wanavyodhani Sio tu miili yetu bali hata hatima zetu ziko chini ya utawala wa meneno ya vinywa vyetu. Kwenye somo hili utajifunza nguvu iliyo kwenye maneno sio tu unayoyatamka bali hata yae unayoyasikia. Sikiliza somo hili na Maisha yako yatakua udhihirisho wa utukufu na ukuu wa Mungu

    Show More Show Less
    1 hr and 2 mins
  • KUISHINDA HOFU PT. 7
    5 mins
No reviews yet