• Taarifa ya Habari:Albanese"sitaruhusu mkutano huo wa pande tatu kufunika maslahi ya Australia"
    Nov 19 2026
    Waziri Mkuu Anthony Albanese ameonekana katika picha ya pamoja na Rais Vladimir Putin wa Urusi katika siku ya ufunguzi wa mkutano wa kilele wa APEC mjini Shenzhen, China.
    Show More Show Less
    5 mins
  • Yaliyojiri Afrika: Wagonjwa wengi wa Ebola wafia katika vituo vya matibabu DRC
    Nov 19 2026
    Imeripotiwa kuwa wagonjwa wengi wanao pokea matibabu ya virusi vya Ebola, katika Jamhuri yakidemokrasia ya Kongo wana kufia katika vituo vya matibabu.
    Show More Show Less
    7 mins
  • Taarifa ya Habari:Waziri wa Hazina"Serikali ya shirikisho haitakubali mapendekezo mbadala kwa mageuzi ya kodi"
    Nov 17 2026
    Waziri wa Hazina wa serikali ya shirikisho anasema hatakubali mapendekezo mbadala ya wabunge huru na vyama pinzani kuhusu mswada wa mageuzi ya kodi wa chama cha Labor, wala hata badili msimamo kuhusu mabadiliko aliyopendekeza.
    Show More Show Less
    14 mins
  • Makala Leo:Kutoka kipaza sauti kilichosalia kuwashwa hadi ulaji wa kuku wa viungo vikali,Albanese anafanya nini ASEAN?
    Nov 17 2026
    Mkutano wa viongozi wa nchi za Kusini-Mashariki mwa Asia (ASEAN) ulianza jana Jumatatu na tamati yake ni leo Jumanne, muda mfupi baada ya mkutano wa kilele wa COP31 na kabla ya mkutano wa APEC baadaye wiki hii.
    Show More Show Less
    10 mins
  • Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yawekeza milioni 88 kutoa mpango wa AUKUS
    Nov 13 2026
    Serikali ya shirikisho imetangaza dola milioni 88 za ziada ili kukuza, kutoa mafunzo na kudumisha nguvu kazi ya ndani ambayo inasema inahitajika ili kutoa mpango wa AUKUS.
    Show More Show Less
    16 mins
  • SBS Learn Eng Ep 123 Jinsi yakuzungumzia usiku wakuamkia baada yakuhudhuria sherehe
    Nov 13 2026
    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu usiku wakuamkia baada yaku hudhuria sherehe?
    Show More Show Less
    9 mins
  • Yaliyojiri Afrika: Maelfu wakimbia vurugu Ethiopia
    Nov 13 2026
    Serikali ya Kenya imethibitisha kuwa, kwa sasa inawahifadhi takriban raia Elfu 40,000 ambao wameingia nchini humo kufuatia mapigano katika baadhi ya maeneo Ethiopia.
    Show More Show Less
    7 mins
  • Taarifa ya habari:Waziri Mkuu Albanese akosolewa katika mkutano wa kilele kuhusu tabianchi
    Nov 13 2026
    Seneta huru David Pocock, amemkosoa Waziri Mkuu Anthony Albanese kwa kushindwa kutaja nishati ya visukuku katika wito wake wa kuchukua hatua za kimataifa kuhusu tabianchi.

    #sbsaudiopodcast
    Show More Show Less
    5 mins